Skicka länk till app

Fertility and Period Tracker


4.2 ( 6352 ratings )
Hälsa & Fitness Medicinsk Livsstil
Utvecklare: Megakey Trans
Gratis

Kalenda ni muhimu kwa ajili wa uzazi salama, inaonyesha siku za kupata mimba. Njia za uzazi wa mpango hutumika na wanawake kuzuia ujauzito kwa madhumuni ya kupanga uzazi ili kuwa na familia bora. Jinsi ya kupata mimba? Ili kufahamu vizuri ni siku zipi ni uwezekano kwa mwanamke kupata mimba,ufahamu thabiti kuhusu mzunguko wa hedhi. Muda mzuri wa kupima mimba kwa uhakika zaidi ni pale unapokosa tarehe za hatari za mwezi unaofuata. Mtoto anaweza kuzaliwa muda wowote kuanzia wiki ya 37-42.